Kiwanja Buku logo Kiwanja Buku

Kiwanja Buku

by Dephics Co. Ltd

🗂️ Finance

🆓 free

4.9/5 ( 647+ reviews)
Android application Kiwanja Buku screenshort

Features Kiwanja Buku

Kitumizi hiki ni kwaajili ya wateja wa Kiwanja Buku chini ya mradi wa Clouds City.
Kitumizi hiki kinawasaidia wateja kuona taarifa za viwanja vyao na mtiririko wa malipo.Viwanja vilivyopimwa na miundombinu yote ipo katika mradi wa Clouds City uliopo Tundwi Kigamboni wenye viwanja 1000, malipo ni kwa mkupuo au kidogo kidogo hadi Tsh.
1000= kwa siku na malipo yanatakiwa kukamilika ndani ya siku 1000.Ukubwa wa viwanja ni kuanzia SQM 400 na kuendelea.
Gharama kwa SQM moja ni Tsh.
8000=, ikihusisha na kupata hatimiliki bila gharama za ziada.
Karibu sana Kiwanja Buku ujipatie kiwanja chako.Maeneo vilipo ni Kigamboni – Ni Tundwi Center – Kigamboni.
Ofisi ziko Corner Stone, Kibada – Kigamboni.

Secure & Private

Your data is protected with industry-leading security protocols.

24/7 Support

Our dedicated support team is always ready to help you.

Personalization

Customize the app to match your preferences and workflow.

Screenshots

See the Kiwanja Buku in Action

Kiwanja Buku Screen 1
Kiwanja Buku Screen 2
Kiwanja Buku Screen 3
Kiwanja Buku Screen 4

Get the App Today

Download on Google Play

Available for Android 8.0 and above